Mteja wa Tigo Bw. George Mtambalike akipokea kadi ya kipaumbele kutoka kwa Mkuu wa Idara ya Rasilimali Watu Tigo Bi. Rebecca Bandora wakati wa uzinduzi rasmi wa tawi la Tigo iliyopo Quality Centre, jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mkuu wa Idara ya Huduma kwa Wateja Bw. Zaeem Khan.
Mkuu wa Idara ya Huduma kwa Wateja Bw. Zaeem Khan (katikati) akimpongeza Bi. Rosemary Mushumba wakati wa kumzawadia kadi yake ya kipaumbele katika uzinduzi wa tawi la Tigo iliyopo Quality Centre, jijini Dar es Salaam. Akishuhudia ni Mkuu wa Idara ya Rasilimali Watu Tigo Bi. Rebecca Bandora.
Mteja wa Tigo Bw. Desideri Binamungu akipokea kadi ya kipaumbele kutoka kwa Mkuu wa Idara ya Rasilimali Watu Tigo Bi. Rebecca Bandora wakati wa uzinduzi rasmi wa tawi la Tigo iliyopo Quality Centre, jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mkuu wa Idara ya Huduma kwa Wateja Bw. Zaeem Khan.
Mkuu wa Idara ya Rasilimali Watu kutoka Tigo Bi. Rebecca Bandora akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa tawi la Tigo lililopo Quality Centre jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Meneja wa Huduma kwa Wateja Tigo Bw. Charles Gadner, Mkuu wa Idara ya Huduma kwa Wateja Bw. Zaeem Khan na Mratibu wa Huduma Maalum za Kipaumbele kwa Wateja Bi. Pilila Kavishe.
Mkuu wa Idara ya Huduma kwa Wateja wa Tigo Bw. Zaeem Khan akimuelezea Mkuu wa Idara ya Rasilimali Watu wa kampuni hiyo Bi. Rebecca Bandora kuhusu teknolojia na huduma mbali mbali ambazo tawi hiyo jipya la Tigo lililozinduliwa Quality Centre itakuwa inatoa.

Mkuu wa Idara ya Huduma kwa Wateja Bw. Zaeem Khan na Mkuu wa Idara ya Rasilimali Watu kutoka Tigo Bi. Rebecca Bandora wakiwa na nyuso za furaha katika picha ya pamoja na wateja wa Tigo wakati wa uzinduzi rasmi wa uzinduzi rasmi wa tawi la Tigo iliyopo Quality Centre, jijini Dar es Salaam.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: