Matokeo ya Michuano ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL)
Ruvu Shooting 1-1 Simba mtanange umepigwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
JKT Ruvu 2-1Kagera Sugar kipute kililia kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam.
Coastal Union 0-0 Azam walivutana shati kwenye Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga.
Oljoro JKT 2-1Mbeya City kipute kilipigwa Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Kaluta Amri Abeid jijini Arusha.
Ligi hiyo itaendelea kesho Jumapili (Oktoba 6 mwaka huu) kwa mechi kati ya Yanga na Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam wakati Mgambo Shooting 0-0 itaialika Tanzania Prisons kwenye Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga.


Toa Maoni Yako:
0 comments: