Waziri wa Fedha, Wizara ya Fedha Tanzania Mhe. Dkt. Wiliam Mgimwa
katikati akisaini mkataba wa mradi wa umeme wa Rusumo, kulia kwake ni
Waziri wa Fedha na Mipango ya Uchumi Burundi Mhe. Tabu Manirakiza,
kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Mkakati na Uendeshaji ukanda wa Afrika
Bw. Colin Bruce
Naibu Katibu Mkuu, Umoja wa nchi za Afrika Mashariki Dkt. Enock Bukuku
akimfafanulia jambo Balozi wa Tanzania Marekani na Mexico Mhe. Liberata
Mulamula walioko pembeni ni baadhi ya walihudhuria mkutano wa kusainiwa
kwa mkataba wa Rusumo.
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mgimwa akikabidhiwa mkataba na Mkurugenzi wa
Mkakati na Uendeshaji ukanda wa Afrika Bw. Colin Bruce mara baada ya
kusaini.
Mawaziri wa Fedha wa nchi tatu, kutoka kushoto Waziri wa Fedha na
Mipango ya Uchumi wa Burudi Mhe. Tabu Manirakiza, Waziri wa Fedha wa
Tanzania Dkt. Wiliam Mgimwa, Mkurugenzi wa Mkakati na Uendeshaji ukanda
wa Afrika Bw. Colin Bruce na Waziri wa Fedha na Mipango wa Rwanda Mhe.
Clever Gatete na pamoja na wakitabasamu mara baada ya kusaini mkataba
huo
Naibu Katibu Mkuu, Umoja wa nchi za Afrika Mashariki Dkt. Enock Bukuku
akimfafanulia jambo Balozi wa Tanzania Marekani na Mexico Mhe. Liberata
Mulamula walioko pembeni ni baadhi ya walihudhuria mkutano wa kusainiwa
kwa mkataba wa Rusumo.
Ujumbe wan chi tatu Tanzania, Rwanda na Burundi pamoja na Benki ya Dunia wakifuatilia majadiliano mara baada ya kusainiwa kwa mkataba huo.
Picha zote na Bi. Ingiahedi Mduma na Bi Eva Valerian – Washington DC
Toa Maoni Yako:
0 comments: