Msanii wa Muziki wa kizazi kipya, Mwanadada Linaha anatarajia kuingia kwenye ndoa hivi karibuni.
Akizungumza na Kajunason Blog msanii huyo, alisema kuwa, "Kaka Kajuna hivi karibuni naingia kwenye chama chenu maana jamaa keshajitoa kimasomaso kwa kunivalisha pete ya uchuma,"
Aliongeza kuwa kwa sasa haitaji watu wamsumbue sumbue kimapenzi maana anaye wake ampendae japo, hakupenda kuweka jina hadharani.




Toa Maoni Yako:
0 comments: