Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya Nasibu Abdul "Diamond Platinumz" akimkabidhi Ipad yenye thamani ya shilingi Milioni Tsh 1.2 mshindi wa dansi ya Ngololo Bw. Faudhu Kiobya kupitia ukurasa wa kijamii wa instragram wa Vodacom Tanzania, mara baada ya kumalizika droo ya tatu ya shindano la miito ya simu.Washindi 35 kila mmoja amejishindia Sh 50,000. Anaeshuhudia katikati ni Meneja wa huduma za ziada wa Vodacom Bw. Mathew Kampambe.
Home
Unlabelled
MSANII DIAMOND AKABIDHI IPAD KWA MSHINDI WA NGOLOLO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Toa Maoni Yako:
0 comments: