Michael Mbwambo mkurugenzi wa Popote Media akicheza mchezo wa Foosball pamoja na Gillsant Mlaseko Meneja Popote Media katika hafla ya jioni ambayo iliyofanyika ofisi za Heineken jijini dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Heineken Tanzania Bw. Uche Unigwe akiwa pamoja na wageni waalikwa katika hafla ya jioni iliyofanyika ofisi za Heineken jijini dar es Salaam.


I MISS MY OLD DAYS MAZEE
ReplyDelete