Afisa Elimu Taaluma Wilaya ya Chamwino Mkoani Dododma Hamisi Mapoto (kulia) akipokea msaada wa Vitabu kwa niaba ya Mkuu wa Shule ya Sekondari Itisso na Mkuu wa Mkoawa Dodoma Dr Rehema Nchimbi (kushoto) msaada huo umetolewa na kampuni ya simu ya Airtel,nyuma ni meneja mauzoAirtel Dodoma Saidimu Ngaleson.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rehema Nchimbi (kushoto) akimkabidhi msaada wa Vitabu vilivyotolewa na Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel kwa shule tano za Sekondari za Mkoa wa Dodoma Kaimu Afisa Elimu taaluma Wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma Sarael Jonas ,wengine ni meneja mauzoAirtel Dodoma Saidimu Ngaleson (kulia) na Afisa masoko Airtel kanda ya kati Hendrick Werner.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: