Moja ya vipita shoto...
Kivutio kimojawapo kinachoonyesha alama ya mji wa Tabora.
Soko la Tabora mjini.
Pikipiki na baiskeli ndiyo usafiri mkuu wa wakazi wa Tabora.
Ofisi ya TiGo Tabora.
Moja ya alama za mji wa Tabora.
Mnara wa Kumbukumbu ya Uamuzi wa Busara uliofanywa na Tanu Januari 1958.
Lango la Chuo cha Uwadhiri, Tabora.
Toa Maoni Yako:
0 comments: