Basi la Princes Muro linaloelekea Bukoba toka Arusha likiwa limeungua.
 Gari la Princes Muro lilivyowaka moto katika kijiji cha Nata, Shinyanga vijijini ambapo kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo walisema ilitokea eneo  hilo hakuna mtu aliyekufa bali mizigo ya watu iliteketea yote.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: