Mama akichota maji kwa ajili ya matumizi ya nyumbani.
Mwenyeji wangu, Alen ambaye aliweza kunitembeza kijiji cha Ibambo na kujionea mengi.
 Suala la ukosefu wa maji kwa wakazi wa vijijini limekuwa ni sugu kwa vile wengi wao wamekuwa wakitegemea maji ya chemchem na madimbwi. Hivi karibuni kajunason blog ilipata nafasi ya kutembelea kijiji cha Ibambo, Kata ya Mwongozo wilaya ya Urambo, ilishuhudia maji yanayofanana na maziwa ndiyo mkombozi kwa wakazi wa kijiji hicho.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: