Moja ya jambo ambalo lilinishangaza hivi karibuni pale nilipotembelea kijiji cha Ibambo, Kata ya Mwongozi wilaya ya Urambo ni jinsi nyumba ya kulala wageni inavyotumia vyandarua ya haki punguzo la akina mama wajawazito.Jambo ambalo nilijiuliza na kukukosa jibu je? akina mama waliamua kuuza au watendaji waliamua kuziuza badala ya kuwagawia akina mama???
 Chandarua kikionyesha nenmbo ya hakiuzwi.
 Chandarua kikiwa kimewekwa katika kitanda cha nyumba hiyo ya kulala wageni.
 Bei zinazoonyesha huduma za nyumba hiyo ya kulala wageni.
 Mbele ya nytumba hiyo ya kulala wageni.
 Jiwe la Msingi lililowekwa baada ya uzinduzi wa nyumba hiyo ya kulala wageni.
 Niliweza kuweka kumbukumbu mbele ya nyumba hiyo ya kulala wageni.
Eneo la kijijini hapo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: