Picha ya Marehemu Mzee Julian Kibindo Lukindo
Bibi Suzana Mungy akiwa pamoja na ndugu zake makaburini  pembeni ya jeneza la Baba yao Mzee Julian Lukindo.

Wakwe wa Marehemu Mzee Julian Lukindo wakiwa wana jianda kushusha jeneza ndani ya kaburi aliye vaa miwani ni Bw Inocent Mungy kulia kwake ni Bw Juma Ndambile Mume wa Isabela
Mama Mzazi wa Suzana Mungy bibi Agnesi Julian Lukindo (75) akiweka udongo katika kaburi la mumewe mpendwa mzee Julian Lukindo.
Bibi Suzana Mungy wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) akiweka udongo katika kaburi la Baba yake mzazi Mzee Julian Kibindo Lukindo(78) ambaye amezikwa jana jioni kijijini kwake Muheza Tanga Mzee Lukindo amezaliwa 1935 na amefariki tarehe 10 June 2013.

PICHA NA CHRIS MFINANGA.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: