Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akinolewa na Kocha wa mcherzo huo Mohamed Chipota wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya ngumi ILala Amana CCM Class anajiandaa na mpambano wake naPatrick  Kavako'Baunsa' wa Morogoro mpambano utakaofanyika june 16 katika ukumbi wa panandi panandi ilala bungoni jumapili hii.

Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: