Francis Miyeyusho (kulia) akimtupia konde Thomas Mashali wakati wa mazoezi leo.
Mashali (kushoto) akikwepa konde la Miyeyusho.
Miyeyusho akijifua kumkabili bondia Shadrack Machanje kutoka Kenya.
Mashali akipasha tayari kuzipiga na bondia Patrick Amote wa Kenya.
Mabondia hao katika pozi la kuzipiga wakati wa mazoezi ya leo.
Mabondia wa hapa nchini Thomas Mashali na Francis Miyeyusho leo wamefanya mazoezi ya pamoja katika gym iliyopo Kijitonyama jijini Dar es Salaam. Mabondia hao wanajiandaa kuwakabili wenzao kutoka Kenya ambao ni Patrick Amote na Shadrack Muchenje kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini litakalofanyika Julai 7 mwaka huu katika Uwanja wa Taifa jijini Dar.
(PICHA NA MUSA MATEJA / GPL)
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: