Hatimaye mtangazaji wa kipindi cha Chomoza kinachorushwa na Clouds Tv, Samweli Sasali aliamua kumvalisha pete ya uchumba Dr. Milembe. Tukio hilo la pekee lililojaa nderemo na vifijo lilifanyika nyumbani kwa familia ya Milembe. Maandalizi ya harusi yanafanyika ambapo ndoa inatarajiwa kufanyika tarehe 26/10/2013. Pichani ni Dr. Milembe akitolewa ndani kuelekea eneo la tukio.
 
 Chereko cherekooooo zilitawala...
Bwana Harusi Mtarajiwa, Samweli Sasali akieleza machache kabla ya tukio la kumvisha pete Dr. Milembe.
Samweli Sasali akimvalisha pete ya uchumba binti Milembe.
 Aha! kitu cha magoti chini, ambapo kwa sasa ndiyo imeonekana ni staili kwa vijana wengi.
 I love u..........
 Jamani mmeona!! nimemvalisha...
Bwana Harusi Mtarajiwa akimkabidhi keki mchumba wake.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: