Diamond:- Q-Ssss
Nay:- Ludboooy, Sadactive Records, Ludboooy,Your Beatfull Beibeeeee, Ludboooyyyyy
Wasaaafii

CHORUS:- Diamond
Hivi Nyie Ma Mc's.... Mnachoimba kitu ganii, mara Bange mara Matusi sa ndo muziki ganii....

CHORUS:- Nay
Hii ni HIP HOP H.O.P, Ludboooy, Mwasisi wa burudanii, aah!, ukishatosha kutoa mapenzi kabane pua nyumbaniii....

CHORUS:- Diamond
Hivi Nyie Ma Mc's Mnachoimba kitu ganii, mara Bange mara Matusi sa ndo muziki ganii,

CHORUS:- Ney
Hii ni HIP HOP H.O.P, Ludboooy, Mwasisi wa burudanii, aah!, ukishatosha kutoa mapenzi kabane pua nyumbaniii

DIAMOND:-
Hata Bibi yangu me aliniambia, Mwanamke anahitaji kubembelezwa, Kupetipeti matunzo pia, Ukienda rafu utampoteza, Muziki ni mfano wa Binti Muzuurii..., Na Ndo maana namtunza kwa vazi la uturiii.....

Ney:- A, aah!! Piga kimya, We ndo haufai kabisaa, Hauna Maana, Wabana pua kila siku mnalogana, Bibi yako alikuambia muziki ni kama Binti mbona unawachezea unawatema kama Big Jii,....Mara Wema, Mara Joket, Mara Nargis, Mara Penny, Je mnafanya muziki ili mpate mabinti????

Diamond:- Uuu, uuuhhh!! Hata wazee wa zamani, walishasemaga kazi na dawa, Cha muhimu Jukwaani ni kuhakikisha wanapagawaa, Kwa michezo ya kuringa ringaa, ndo huwa wanadataaaaa, Badilika usiwe mjinga, Utawakamataaa....

CHORUS:- Diamond
Hivi Nyie Ma Mc's Mnachoimba kitu ganii, mara Bange mara Matusi sa ndo muziki ganii,

CHORUS:- Nay
Hii ni HIP HOP H.O.P, Ludboooy, Mwasisi wa burudanii, aah!, ukishatosha kutoa mapenzi kabane pua nyumbaniii

CHORUS:- Diamond
Hivi Nyie Ma Mc's Mnachoimba kitu ganii, mara Bange mara Matusi sa ndo muziki ganii,

CHORUS:- Nay
Hii ni HIP HOP H.O.P, Ludboooy, Mwasisi wa burudanii, aah!, ukishatosha kutoa mapenzi kabane pua nyumbaniii

NEY:- Muziki wenu Ushirikinaa, ndo Umetawala, Q-Chillah analalama, anasema umemloga, Mganga wako aliyekutoa umemkimbia hujamlipa, na Bila Skendo za magazeti basi husikikii....

DIAMOND:- Ahh!! me ni mti wenye matunda, milele siogopi kupigwa mawe, Ubaya wenu Kayumba, Elimu mmeitupa sandakarawee....

NEY:- Halijanishawishii, Bongo Flava inanipa Kichefu che-fu, kwanza nyie malimbukeni wa umaarufu, Mnaleta maringo mpaka kwa mashabiki, Wabana pua nyie sio rizikii, Mnavaa nguo za dada zenu zinawabana majapa nyie makaka duu, Aaah!!, nyie watoto wa mchana mchanaa, DIAMOND anaingilia kati:- ''Mbona matusi bwana?'' Kwenye Shoo viuno mbele mbelee, ''Mbona unatutkanaa?'', Aah!! nyie watoto wa mchana mchanaa, ''Mbona matusi bwanaaa''?, Kwenye shoo viuno mbelembeleee, Tumewanyamazishaa, Braza Meni we vipi we bado unabishaa.....

DIAMOND:- Hata me nnamengi nayajuaaa, ila we mtemi utaanzisha utata, Michezo yenu kutoboa puaa, Bora ninyamaze usinipige Mbata...

CHORUS:- Diamond
Hivi Nyie Ma Mc's Mnachoimba kitu ganii, mara Bange mara Matusi sa ndo muziki ganii,

CHORUS:- Nay
Hii ni HIP HOP H.O.P, Ludboooy, Mwasisi wa burudanii, aah!, ukishatosha kutoa mapenzi kabane pua nyumbaniii

CHORUS:- Diamond
Hivi Nyie Ma Mc's Mnachoimba kitu ganii, mara Bange mara Matusi sa ndo muziki ganii,

CHORUS:- Nay
Hii ni HIP HOP H.O.P, Ludboooy, Mwasisi wa burudanii, aah!, ukishatosha kutoa mapenzi kabane pua nyumbaniii

DIAMOND:- anamaliza kwa kicheko
Ha ha ha haaa, Umepanic Braza...

NAY:- Aaah! wapi nani kapanic, Acha Uwoga Dogoo...
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: