Mwenyekiti wa Unit of women Friends Esther (kushoto) akikabidhi Afisa
uhusiano wa Airtel Bi Jane Matinde cheti cha shukrani kwa Airtel
kushiriki na kudhamini tuzo za mwanamakuka kwa mwaka 2013. Akishuhudia
ni mtunza fedha Mwate Madinda.
Afisa uhusiano wa Airtel Jane Matinde (kulia) akikimkabithi mshindi wa
pili wa mwanamakuka bi Leila Mwambungu mfano wa hundi ya shillingi
million tatu mara baada ya kuibuka mshindi wa pili wa tuzo za
mwanamakuka . wakishuhudia kulia katikati ni mwenyekiti wa Unit of
women Friends Esther Wakati, kushoto ni msimamizi wa mwanamakuka award
Maryam Shamo akifatiwa na Mke wa makamu wa raisi Asha Bilali
Waandaaji na wadhamini wa tuzo za mwanamakuka 2013 wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi Mke wa makamu wa raisi Asha Bilali wakati wa sherehe za tuzo hizo.
Toa Maoni Yako:
0 comments: