Barabara
ya kuingia katika Ofisi za Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi zikiwa
zimefungwa na Askari Polisi kufuatia vurugu zilizotokea leo
Polisi wakifanya doria kwa kutumia pikipiki
Mitaa
ya Kariakoo na viunga vyake ikiwa imeimarishwa na Askari wa Jeshi la
Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika mitaa ya Kariakoo leo
Ulinzi uliimarishwa na Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania katika mitaa ya Kariakoo leo
Wanajeshi wakivinjari katika mitaa ya Kariakoo leo
Askari
wa jiji wakishiriki kikamilifu katika zoezi la kuwakamata watu
waliokuwa wamekusanyika kwa nia ya kutaka kuandamana katika eneo la
Kariakoo
Hili ni moja ya Gari lililobeba
wanajeshi ambao walikua doria wakati waandamaji waripoleta vurugu na
kusababisha vurugu na mabomu ya machozi kulindima kwenye baadhi ya
maeneo kama vile Kariakoo na Posta.
Toa Maoni Yako:
0 comments: