Wanajeshi
wanaokadiriwa kuwa 50 kwa pamoja wamemshambulia trafiki kwenye taa za
ubungo na kuondoka kwa madai kuwa kawachelewesha kwenye foleni, baada
ya kuondoka magari hayo ya jeshi yalizuiwa kwa muda wa zaidi ya saa
moja maeneo ya Tabata dampo.kabla ya kuachiwa kuendelea na safari
yake. Shukrani nyingi zimwendee mwanahabari wa Kajunason Blog, Kashinde Kulwa aliyetupenyezea habari hii.
Home
Unlabelled
ASKARI WA JWTZ WAMSHAMBULIA TRAFIKI KWENYE MATAA YA UBUNGO JIJINI DAR
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Toa Maoni Yako:
0 comments: