| Hili ni eneo la Msimbazi ambalo kwa kawaida huwa kuna msongamano mkubwa wa watu |
| Eneo la mzunguko wa Kariakoo ambalo jiupe kama unavyoliona hapa |
| Hapa sio maduka yamefungwa muda umepita ama wahusika wamefiwa hapana ni baada ya vurugu kutokea |
| Hii ni kariakoo sio biashara mbaya ni usalama hakuna |
Ingekuwa vipi kama kariakoo kila siku kungekuwa hivi?


Toa Maoni Yako:
0 comments: