Baadhi ya wadau wakiwa na wanachama wa Chama cha Wanasheria wanawake Tanzania (TAWLA) wakiwa mkutano jana jijini Dar es salaam ulikuwa unajadili matokeo ya utafiti kuhusu migogoro ya ardhi inawakabili wanawake . Mkutano huo ulikuwa na lengo la kupatia matokeo ya utafiti ulifanyika katika Mkoa wa Dare s salaam na Tanga ulifadhiliwa na TAWLA.
Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi Wilaya ya Kinondoni Charles Mnzava (kulia) akichangia mjadala  jana jijini Dare s salaam kuhusu matokeo ya utafiti kuhusu migogoro ya ardhi inawakabili wanawake . Mkutano huo ulikuwa na lengo la kupatia matokeo ya utafiti ulifanyika katika Mkoa wa Dare s salaam na Tanga ulifadhiliwa na TAWLA. Kushoto ni Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi wilayani Ilala Raphael David.
Jaji wa Mahakama Kuu  Patricia Fikirini(kulia) akitoa maoni yake jana jijini Dar es salaam kuhusu mjadala kuhusu matokeo ya utafiti kuhusu migogoro ya ardhi inawakabili wanawake . Mkutano huo ulikuwa na lengo la kupatia matokeo ya utafiti ulifanyika katika Mkoa wa Dare s salaam na Tanga ulifadhiliwa na TAWLA. Kushoto ni Jaji wa Mahakama ya Rufaa Mstaafu Eusebia Munuo.
Mwenyekiti wa Chama cha Wanawake wanasheria Tanzania (TAWLA) Aisha Bade (kulia) akitoa ufafanuzi jana mjini Dar es salaam  kuhusu matokeo ya utafiti kuhusu migogoro ya ardhi inawakabili wanawake . Mkutano huo ulikuwa na lengo la kupatia matokeo ya utafiti ulifanyika katika Mkoa wa Dare s salaam na Tanga ulifadhiliwa na TAWLA. Kushoto ni Hakimu Mkazi Wilaya ya Ilala Tarsua Kesoka. 
Picha na Tiganya Vincent - MAELEZO-Dar es Salaam.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: