Mshambuliaji wa mundu, Mfanyeje Ndalo akimiliki mpira mbele ya walinzi wa Mtende, Mussa Juma (kushoto) na Jumanne Chikunde.
Walinzi wa timu ya mtende Mussa Juma (kushoto) na Jumanne Chikunde wakimzuia mshambuliaji wa Mundu, Mfanyeje Ndalo jana kwenye uwanja wa Amaan zanzibar. Mtende 2 Mundu 0.
Mshambuliaji wa Mundu, Ibrahim Rajab (mbele) akipambana na Ali Salum wa Mtende, ligi kuu ya Grand malt ya zanzibar jana. Mtende ilipata ushindi wa mabao 2-0.
 
Picha na Martin Kabemba
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: