Baada ya kinyang’any’iro cha uchaguzi wa Mkutano Mkuu Kata ya Kivukoni wilayani Temeke jijini Dar es Salaam uliofanyika katika viwanja vya Karimjee, pichani ndio walioibuka mabingwa na kuchaguliwa kuwa wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wilaya. Kushoto ni Ndugu Adriano Richard Haonga na kulia ni Ndugu Zulfikar Ali Mzige.
Home
Unlabelled
ADRIANO NA ZULFIKAR WALIOIBUKA KIDEDEA NAFASI YA UJUMBE WILAYA KUTOKA KATA YA KIVUKONI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments: