Katibu Mtendaji wa NECTA, Dk. Joyce Ndalichako leo ametangaza matokeo ya kidato cha sita,
Shule iliyoongoza ni MARIAN GIRLS ya Bagamoyo.
Pia amepunguza adhabu ya miaka 3 na kuwa mwaka 1, iliyokuwa imetolewa kwa watahiniwa waliobainika kufanya udangayifu wa matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2011.

AU
AU
Toa Maoni Yako:
0 comments: