Maelfu ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam leo wameungana na Familia ya Mhandisi Mponzi wa Oysterbay jijini Dar es Salaam katika misa maalum ya kumuaga binti yao kipenzi Jane G. Mponzi aliyefariki juzi Machi 4, 2012 saa 4 asubuhi baada ya kuugua ghafla. Jane Mponzi aliyekuwa Mfanyakazi wa Kampuni ya Simu za Mkononi ya Vodacom na shabiki mkubwa wa Timu ya Simba ya Dar es Salaam pamoja na Man U aliagwa kwa awamu mbili ambazo zote zilifurika watu isivyotarajiwa.
Baadhi ya waombolezaji wakiwa nyumbani kwao na marehem,u jijini Dar es Salaam.
Ben Mponzi mdogo wa marehemu akisoma wasifu wa marehemu dada yake.
Familia ya Mzee Mponzi ikiwa Kanisani
Waombolezaji waliofika katika Misa maalum ya kumuombea Marehemu Jane wakiwa Kanisani St Peter Dar es Salaamkabla ya mwili kusafishwa kwenda Tosamaganga Iringa kwa maziko kesho mchana.
Toa Maoni Yako:
0 comments: