MJUMBE WA BODI YA WAKURUGENZI WA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA BWN. ALEX P. MAGESA AKITOA ZAWADI YA MASHUKA 700 KWA NIABA YA HOSPITALI, ZAHANATI NA VITUO VYA AFYA MKOANI SINGIDA KWA MUUGUZI MKUU WA MKOA HUO BI.ELLETRUDE MAKOWI

  DR. KUBONYA WA NHIF AKIMPA USHAURI WA NAMNA YA KULINDA AFYA YAKE KUTOKANA NA UZITO ULIOONGEZEKA BWN ALLY JUMANNE AKIWA NI MMOJA WA WAKAZI WALIOJITOKEZA KUPIMA NA KUJUA HALI ZA AFYA ZAO  LEO MKOANI SINGIDA,NHIF IMEWEKA KAMBI HIYO MAHUSUSI IKIWA NI KUWAHAMASISHA WANANCHI KUWA NA UTAMADUNI WA KUPIMA AFYA MARA KWA MARA.
 MGANGA MKUU MFAWIDHI WA HOSPITALI YA MKOA WA SINGIDA DKT. SULEMANI MTTANI AKIMWELEZA MJUMBE WA BODI YA NHIF BWN ALEX MAGESE MAANDALIZI YA AWALI YA UKARABATI WA JENGO(ALIPO PICHANI)  LITAKALOTUMIKA KUWAHUDUMIA WANACHAMA WA NHIF NA CHF HIVI KARIBUNI.
PICHANI NI BWN. DEUS KUNUWA AKIMPIMA UWIANO WA  UREFU NA UZITO WA MWILI  KITAALAMU (BMI) BWN. JOSEPH SANGAU,UHAMASISHAJI WA UPIMAJI WA AFYA KWA WANANCHI WA SINGIDA UNAKWENDA SANJARI NA SIKU YA WADAU  INAYOFANYIKA MKOANI HUMU AMBAPO  WANANCHI WANAIMIZWA KUJIUNGA NA MIFUKO YA AFYA YA JAMII KWANI NDIYO  MKOMBOZI WA HUDUMA ZA AFYA KWENYE HALMASHAURI ZAO HUSUSANI  VIJIJINI. (PICHA NA PAUL MARENGA-SINGIDA).
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: