Wenyeji wa eneo la Elgeyo Marakwet wanaishi katika hali ya wasiwasi baada ya bonde la Elgeyo marakwet huko Keiyo nchini Kenya kufanya nyufa ardhini na kuibua hofu yakuporomoka. Kwa mujibu wa mkuu wa wilaya ya Keiyo Bw. Mohammed Abbas amekariri kuwa kuna haja ya wenyeji hao kuyahama makazi yao ili kuzuia maafa makubwa zaidi kuzuka. Mwanaisha Chidzuga wa KTN ana taarifa zaidi.
Home
Unlabelled
WANANCHI WA ELGEIYO NCHINI KENYA WAHAMISHWA MAKAZI YAO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments: