Wadau katika sekta ya elimu wamepinga vikali pendekezo la kuandaa uchaguzi mwaka ujao kwa kudai kuwa mchakato huo utaathiri pakubwa utaratibu wa masomo. Chama cha walimu nchini KNUT na wasimamizi wa muungano wa KUPPET wameshtumu vikali tume ya IEBC kwa kudai kuwa tume hiyo haikuzingatia mazingira ya kuandaa uchaguzi wala kushauriana na wahusika kabla ya kutoa uamuzi huo. Kwa upande wake waziri wa elimu professor Sam Ongeri amesema kuwa uchaguzi huo hautoathiri kwa vyovyote vile shughuli za masomo.
Home
Unlabelled
WADAU SEKTA YA ELIMU WAPINGA TAREHE YA UCHAGUZI MKUU NCHINI KENYA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments: