FAMILIA YA MZEE NSUBISI SAMUEL MWAKIPUNDA INASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA BWANA DAVID SAMUEL MWAKIPUNDA(MCHEZAJI WA ZAMANI TIMU YA MPILA WA KIKAPU-PAZI) KILICHOTOKEA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 11/03/2012.
MAZISHI YATAFANYIKA MAKABURI YA KINONDONI DAR ES SALAAM SIKU YA JUMATANO TAREHE 14/03/2012.
HABARI ZIWAFIKIE NDUGU JAMAA NA MARAFIKI POPOTE PALE WALIPO.
“BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE” .
Toa Maoni Yako:
0 comments: