Moja ya matatizo yanayowakumba wakazi wa mjini na vijijini ni suala la usafiri. Ukingalia mjini watu wanatumia usafiri wa jumuiya ujulikanao kama daladala na vile vile vijijini wao huwa hawana usafiri maalum kwa vile hutumia baiskeli, pikipiki, lori ama trekta kama unavyoona kwenye picha ambayo kamera ya Kajunason Blog (Habari na Matukio) iliweza kuinasa maeneo ya Kibaigwa mkoani Dodoma. Hakika inasikitisha sana kuona wananchi wakitumia usafiri huo.
Usafiri huu husaidia sana wakazi wa vijijini.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: