Mkurugenzi
wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Leonard Thadeo (kulia) akitoa tamko
jana jijini Dar es salaam la kutaka Shirikisho la Soka Nchini (TFF)
kulipa Shilingi milioni 5 kwa ajili ya gharama za matengenezo ya viti
vya Uwanja wa Taifa vilivyoharibiwa na Washabiki wakati Mechi ya Simba
na Kiyovu wiki iliyopita. Uharibifu huo umesababisha viti 152
kuharibiwa na 11 kuvunjwa kabisa. Mkurugenzi huyo alitoa tamko hilo kwa
niaba ya Waziri wa Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo Dkt Emmanuel
Nchimbi .Kushoto ni Afisa Habari Idara ya Habari(MAELEZO) Lydia Churi.Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO- Dar es Salaam.
Home
Unlabelled
TFF WATAKIWA KULIPA MIL.5 KWA UHARIBIFU WA UWANJA WA TAIFA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments: