Watu wakiwa wamejazana katika soko la Ilala Boma lililoko mkabala na ofisi ya mkuu wa mkoa wakichagua mahitaji yao, jambo ambalo kwa sasa limekuwa kero kwa barabara hiyo.
...Angalia mwenyewe kila mmoja akiwa busy kuchagua kinachomfaa
Katika soko hili la Ilala Boma kila kitu kinapatiakana, je? serikali inampango gani na wafanyabiashara ndogo ndogo ambao kwa sasa wamezagaa kila sehemu kufunga maduka yao yasiyo rasmi.
Toa Maoni Yako:
0 comments: