Askari wa JWTZ akimwangalia mmoja wa majeruhi wa ajali ya mabasi ya Taqwa na Moro Best iliyotokea baada ya kulikwepa Lori lililokuwa limeegeshwa katika Barabara Kuu ya Dar-Moro, eneo la Mikeshe, Morogoro.
Askari akimhoji abiria ambaye pamoja na mwanawe walinusurika  katika ajali hiyo.
Wasamaria wema wakiwa wamebeba mmoja wa majeruhi wa ajali ya mabasi ya Taqwa lililokuwa likitokea Bunjumbura, Burundi kwenda Dar es Salaam.
Baadhi ya abiria wa basi la Moro Best wakimuokoa mwenzao aliyejeruhiwa wakati wa ajali hiyo

Mkuu wa Usalama barabarani mkoa wa Morogoro, Leornad Gyindo (kushoto) akimsikiliza derva wa basi la Moro Best lenye no za usajiri 846 BCU. 
Hapa wasamalia Wema wakitoa bibi ndani ya basi hilo la Moro Best baada ya kutokea ajali na kuacha njia na kupinduka eneo la Nero Mikese Morogoro.
Wasamaria wema wakimtoa mmoja wa abiria katika ajali hiyo kwenye tundu la kuingizia hewa ndani ya basi hilo ambazo kuna sehemu mbili.
Lori lenye namba ya usali t 593 aga likiwa limeegeshwa baada ya kuharibika ambalo limesabaisha kutokea kwa ajali mbili za basi la taqwa majira ya saa 1:30 am leo na basi la moro best t 846 bcu majira ya saa 4:4:o4 am januari 05, 2012 na abiria 22 kujeruhi kutokana na magari kushindwa kupishana.
Kamanda Wa Jeshi La Polisi Mkoa Wa Morogoro Adolphina Chialo (Mwenye Sharti Nyeupe) Akiwa Eneo La Tukio Baada Ya Kutokea Ajali Hiyo. Picha zaidi tembelea; Juma Mtanda Blog kutoka Morogoro.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

1 comments:

  1. hivi wahusika munasikia raha gani munapoona hajali za kila siku bara barani mana tanzania imefikia wakati watu wanao fariki kwa hajari za barabarani unaweza ukalinganisha na nchi ambayo inapigana vita ili swala sio lakusema alichopanga mungu binadamu hawezi kupangua na wala si swala la rais polis usalama barabarani wakiamua kufanya kazi ipasavyo aya yte yanaisha hakuna watu wasio sikia kma hawa wtu wa ulaya lakni kwa swala la barabarani wanaliheshimu sna mtu ikifika hijumaa akiona anaenda kunywa basi ujue gari lazima haache hme apande bus au train na ata kuwe na part ya namna gani kma siku iyo yeye ni dereva atagusa pombe ata kdgo anajua akimya akasababisha hajari akigundulika kuwa alikunywa basi leseni matatani

    ReplyDelete