Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akifungua pazia kama ishara ya uwekaji wa jiwe la msingi Nyumba ya madaktari wa Norway Chuo cha Sayansi ya Afya Mbweni,ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za miaka 48 ya Mapinduzi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mkuu wa Chuo cha Afya ya Sayansi Hakim Bilal, alipofika chuoni hapo kuweka jiwe la msingi Nyumba ya madaktari wa Norway,ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: