ZIKIWA zimebaki siku 12 mwaka wa 2011 ufutike, Ijumaa Wikienda linazindua ripoti kamili ya skendo za umalaya kwa baadhi ya mastaa wa kike wa tasnia ya filamu Bongo, shuka na mistari.

Mara kadhaa magazeti ya Global Publishers yamekuwa yakiripoti ufuska unaofanywa na mastaa hao na wakati mwingine kuingia kwenye mgogoro nao wakidai wanasingiziwa, lakini sasa upepo umebadilika.

WENYEWE WAANIKANA

Mjadala unaochukua kasi mithili ya moto wa kifuu katika ulimwengu wa mastaa wa filamu ni kauli za Irene Pancras Uwoya na Wema Isaac Sepetu waliowatuhumu wenzao kujiuza au kuuzwa laivu kwa wanaume, tena kwa bei cheee.

HIKI NDICHO ALICHOKISEMA UWOYA

Kwa mujibu wa Uwoya, limekuwa ni jambo la kawaida kufuatwa na kuambiwa kuwa kuna mtu…
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: