Leo ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya Anitha Ruhinda ambaye ni shemeji yetu kwa Arnold Kayanda ambapo ilikuwa ni suprise maana vijana waliingia na nyimbo na keki pamoja na maua na kumfanya mwanadada abaki akishangaa bila kuamini kilichotokea. Arnold Kayanda alituma ujumbe wa watu wapatao 5 ambao ulienda ofisini kwake na kuwasilisha zawadi mbali mbali.
 Keki yenye umbo la Biblia nayo ilimfikia mwanadada Anitha.
Anitha Ruhinda hakuamini baada ya Barnada, Amini pamoja na Nash Designer walitinga ofisi na kuanza kuporomosha nyimbo.
 Anitha Luhinda ambaye ni shemeji yetu kwa Arnold Kayanda akishukuru huku akiwa amepata mshangao.
 Amini akipata picha ya ukumbusho na Anitha Ruhinda.
 ...zawadi za hapa na pale nilitolewa
 Furaha na vifijo vilitawala ofini mwa Anitha.
 ...muda wa kukata keki huku akiimbiwa
 ...hapa Barnaba alikuwa akijadiliana na Amini jambo.
 ...yani ilikuwa ni furaha ofisi kwake si kwa yeye tu bali hata kwa wafanyakazi wenzake ambao waliungana nae na cha  kufurahisha mama huyu ambaye anamlisha keki yeye ifikapo tarehe 18.12.2011 atakuwa anatimiza miaka 60. Hongera kwake.
 ...Afisa mwajiri akila keki
 ...kulikuwa na staili mbali mbali za kula keki
 Amini akila keki
 Barnaba nae alifuata
wafanyakazi wenzake
 ....Asante kwa keki
 Jackiline akila keki...huyu mwanadada ndiye aliyefanikisha suprise hiyo
 ...hapa Cathbert Angelo Kajuna...mzee wa Kajunason Blog akiwakilisha
 ...furahaaaaaaaaaaaaa
 Shemeji Anitha Ruhinda.
...Kumbukumbu
 ....Nikilia na bembelezwa kwa upendo je wewe ulishawahi kubembelezwa
 ...ukumbusho wa hapa na pele
...Tunaushukuru sana uongozi wa ofisini mwa mwanadada Anitha Ruhinda kwa kutupa nafasi ya kufanya suprise ya kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwa mwanadada huyo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: