Mvua zinazoendelea kunyesha zimeendelea kuleta maafa makubwa baada ya watu wapatao 9 wa familia moja eneo la mto wa Kigogo jijini Dar es Salaam pamoja na mtu mmoja ambaye alidhaniwa ni teja alifuta tairi la gari ambalo aliliona kwenye maji na kuzama mpaka sasa hali ni mbaya eneo hilo na faya wamekuwa wakiendelea kuwatafuta watu hao bila mafanikio.

Mpaka sasa hali si hali katika maeneo mbali mbali ya Dar es Salaam ambapo Mbezi Beach maeneo ya Bondeni daraja limevunjika upande na kusababisha magari kushindwa kuingia mjini.
 Huku maeneo ya Jangwani hakueleweki leo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

4 comments:

  1. God Bless Tanzania!!

    ReplyDelete
  2. Leo jamani kote hakufai, kumuombe Mungu atusaidie.

    ReplyDelete
  3. Jamani hao si wahame mabondeni tu,,,mbona hivyo???

    ReplyDelete
  4. Serikali fanyeni jitihada watu wapate pa kuishi

    ReplyDelete