Mvua zinazoendelea kunyesha zimeendelea kuleta maafa makubwa baada ya watu wapatao 9 wa familia moja eneo la mto wa Kigogo jijini Dar es Salaam pamoja na mtu mmoja ambaye alidhaniwa ni teja alifuta tairi la gari ambalo aliliona kwenye maji na kuzama mpaka sasa hali ni mbaya eneo hilo na faya wamekuwa wakiendelea kuwatafuta watu hao bila mafanikio.
Mpaka sasa hali si hali katika maeneo mbali mbali ya Dar es Salaam ambapo Mbezi Beach maeneo ya Bondeni daraja limevunjika upande na kusababisha magari kushindwa kuingia mjini.
Huku maeneo ya Jangwani hakueleweki leo.

God Bless Tanzania!!
ReplyDeleteLeo jamani kote hakufai, kumuombe Mungu atusaidie.
ReplyDeleteJamani hao si wahame mabondeni tu,,,mbona hivyo???
ReplyDeleteSerikali fanyeni jitihada watu wapate pa kuishi
ReplyDelete