Naye mwandishi wa mbeya yetu Joseph Mwaisango ambaye alikuwa akitupa habari alionja joto ya jiwe baada ya kutupwa ndani ya gari ya polisi kwa kosa la kupiga picha matukio hayo ya wamachinga na polisi baadaye aliachiwa na kuendelea na kazi yake
Wamachinga wakiwazomea polisi eneo la kabwe
Baadhi ya wamachinga wakiwa wamelipindua gari yaina ya toyota na kusimama juu yake huku wakitamka maneno makali kwa polisi na jiji la mbeya kwa kuwanyanyasa katika biashara zao
Wamachinga Mbali mbali wakikimbia katika eneo la tukio wakati wa machafuko hayo yamepamba moto
Polisi wakijalibu Kuzuia Ghasia katika eneo hilo na kufukuza Wamachinga
Wamachinga wakiwa tayali kwa ajili ya Kupambana na FFU wakati wa tukio hilo
Wamachinga wakikimbia katika eneo la tukio wakati wa machafuko hayo yamepamba moto.
Shukrani kwa Mbeya Yetu Blog.
Toa Maoni Yako:
0 comments: