Rejea taarifa ya msiba wa Mzee Said Muhammad Sikamkono mazishi yatafanyika leo tarehe 13/10/2011 katika makaburi ya Hainalt Garden of Peace saa nane mchana. Ila kabla ya makaburini tunaombwa wote tufike msikiti wa Sakina Walthamstaw (basi namba 179) saa sita na nusu mchana. Msiba uko nyumbani kwa marehemu Woolwich Dorkyard ambako wote tunakaribisha muda wowote kujumuika na familia ya marehemu wakati huu wa majonzi .Wakina mama pia wanaweza kufika msikitini au nyumbani kwa marehemu kwa ajili ya kutoa pole.

Address ya sehemu ya msiba ni;

Woolwich Ferry
405,Frances Street, London.
SE18 5JU.

Kwa maelezo zaidi  tafadhali wasiliana na;

07813539025 - Haruna mbeyu.Katibu Jumuiya ya Watanzania -london

07766454596 - Abdallah Mdidi
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

1 comments:

  1. safi kwa contents mkali,ukiweza pitia www.TanzaniaKwetu.com uisajili blog yako kule kama bado just uongeze namba ya viewers kwa hii blog,pamoja sana!

    ReplyDelete