Aaiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!

Mmoja wa wanenguaji wa kundi la Kanga moja akinyesha umahili wake wakati wa shoo ya bendi ya Extra Bongo kwenye Ukumbi wa Meeda Sinza Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
 Duh.......
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

1 comments:

  1. wazazi unao bi dada? hata hupendezi utu umeuacha nyuma sana jaribu kumrudia Mungu kwanza maana umepoteza kabisa.hao unaodhani unawafurahisha hawakusaidii chochote.

    ReplyDelete