Bi. Harusi Happiness Msonga akimvisha pete mumewe,George Minja ikiwa ni sehemu ya kukamilisha ibada ya ndoa yao katika kanisa la KKKT Azania Front,jijini Dar es Salaam hivi karibuni.Hafla ya kusherehekea ndoa hiyo ilifanyika katika ukumbi wa Lamada,Ilala jijini Dar es Salaam.
 Maharusi wakiwa na wapambe wao wakati wakiingia kanisani.
 Maharusi na wapambe wao wakifurahia jambo na Bibi yao.
Bw. George Minja na Mkewe Happiness Msonga wakiwa na wazazi wao wa pande zote mbili.
 Bi. Harusi wa Sasa akiwa na Bi. Harusi wa Miaka ijayo katika bonge moja la pozi.
 Kwa raha zakeee,Bi. Happiness.......
Maharusi katika pozi.
Bi. Harusi Happiness akiwa na dada yake.
Maharusi wa Mamedz wao ambao waliipendezesha sherehe hiyo.
 Siku ya Send Off mambo yalikuwa namna hii,hapa Dada. Happiness akikata keki huku akiwa amesimamiwa na makaka zake.
Baadhi ya wanakamati waliofanikisha sherehe hiyo ya Send Off ya Dada Happiness wakiwa katika picha ya pamoja.
 Kekizz ya Kichen Party sio ya kitoto,si mnaona wenyewe ubunifu uliofanyika hapo.
 Dada Happiness katika moja ya pozi la picha.
Dada Happiness akiwa na Medz wake waliomsimamia katika sherehe ya kitchen party yake.
Pozz la nguvu.
Mambo ya Mduara hayooooooo
Bi Harusi na Wafanyakazi wenzake.
Bi. Harusi na Wanafunzi wenzake kutoka chuo cha biashara cha CBE.


Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: