Mkuu wa mkoa Mbeya Abasi Kandoro akiongea na wakandarasi  wa uwanja wa ndege songwe Mbeya alipotembelea kuona maendeleo ya kiwanja hicho
 Meneja wa kiwanja cha ndege mkoa wa mbeya  Ezekia Mwalutende akisoma taarifa ya ya ujenzi wa kiwanja cha  ndege songwe Mbeya
 Mkuu wa mkoa mbeya Abasi Kandoro akiwasisitiza wakandarasi wa ujenzi wa uwanja wa ndege songwe kukamilisha ujenzi  uwanja huo kwa muda uliopangwa
 Hili ni jengo la abiria likikamilika linauwezo wa kuhudumia abiria 300 kwa saa
Hii ni barabara ya kutua na kurukia ndege nyenye urefu wa kilometa 3.6 na upana wa mita 45 kiwanja kitakuwa barabara ya kiungo moja na eneo la maegesho lenye uwezo wa kuegesha ndege nne aina ya boing 737 kwa pamoja

Picha: www.latestnewstz.blogspot.com
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: