Mwalimu mkuu wa Shule ya msingi Kibesa, akiwaelezea historia ya shele wageni wake waliofika kutembelea na kutoa msaada wa vibao vya uandikia
Mwalimu mkuu wa Shule ya msingi Kibesa, Franco Mwakibinga akielezea kwa msisitizo matatizo yanayoikabili shule yake ambayo inawanafunzi wapatao 150 kuanzia darasa la 1-3 na hakuna madawati wala vitendea kazi, walimu na hata miundo mbinu ni mibovu.
Wanafunzi wa shule ya msingi Kibesa wakiimba kuwakaribisha wageni waliofika shuleni kwao.
Pamela Shelukindo mwakilishi wa Tigo akielezea jinsi ya kutumia kibao cha mkononi kwa wanafunzi wa shule ya msingi ya Kibesa wakati tigo ilipotoa msaada wa vibao 150 vya mapajani kwa shule hiyo.
Pamela Shelukindo mwakilishi wa Tigo akimkabidhi kibao cha mkononi kwa mwalimu mkuu wa Shule ya msingi Kibesa, Franco Mwakibinga kwa ajili ya wanafunzi wa shule yake ambapo tigo ilitoa jumla vibao 150 vya mapajani.
Pamela Shelukindo mwakilishi wa Tigo akimkabidhi kibao cha mapajani mwanafunzi wa shule ya msingi Kibesa iliyopo msitu wa pande.
Pamela Shelukindo mwakilishi wa Tigo akimkabidhi kibao cha mapajani mwanafunzi wa shule ya msingi Kibesa iliyopo msitu wa pande.
Pamela Shelukindo mwakilishi wa Tigo akijaribu kuongea na wanafunzi wa shule hiyo mara baada ya kutoa msaada huo wa vibao vya kuandikia mapajani.
Wanafunzi wa shule ya msingi Kibesa iliyopo msitu wa pande wakijaribu kuviangalia wa makini vibao hivyo mara baada ya kukabidhiwa.
Wanafunzi wa shule ya msingi Kibesa iliyopo msitu wa pande wakionyesha vibao walivyopokea.
Toa Maoni Yako:
0 comments: