Shughuli za uchimbaji wa kokoto katika eneo la Kunduchi jijini Dar es Salaam bado linaendelea kama kawaida huku shughuli za ujenzi zikiwa zinaendelea kama unavyoona. Wakati huo serikali ikiwa imepiga marufuku Machimbo ya Kunduchi, mgogoro wa ardhi kati ya mwekezaji na wananchi unaendelea.

Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: