Wapambe wakiingia ndani kwa staili ya aina yake katika harusi ya Bw. Godbless Lema na Bi. Sara Mhina iliyofanyika Tegeta, jijini Dar es Salaam.
Bw. Godbless Lema na mkewe Bi. Sara Mhina wakiingia kwa furaha katika sherehe yao ya kupongezwa baada ya kufunga pingu za maisha katika kanisa la KKKT- Tegeta na sherehe iliyofanyikia katika ukumbu wa Home Boys Tegeta, Dar es Salaam.
Bw. Godbless Lema akiwa na mkewe Bi. Sara Mhina wakiwa sura za furaha.
Wapambe nao hawakuwa nyuma kuserebuka kwa furaha na vifijooooooooooooo.
Hizi ni mila za Wachaga kucheza huku wameshikana mikono....sijui huwa wanaashiria nini ila ndiyo hivyo kama unavyowaona pichani.
Bw. Godbless Lema na mkewe Bi. Sara Mhina wakifungua mziki kwa furaha.
Toa Maoni Yako:
0 comments: