Picha hii ilichukuliwa wakati team ya Clouds Fm ilipokuwa mitaani mjini Musoma na kukutana vijana ambao walimetoka kutahiriwa, kwa roho ya huruma mtangazaji wa Clouds Fm Mully B aliwaita watoto hawa na kuwapatia msaada wa pesa ya kununulia maji waliposema wanakiu sana na wanatembea umbali mrefu kutoka walipo na kuelekea wanapoelekea.


Toa Maoni Yako:
0 comments: