
Ni maneno ya Mheshimiwa Zito Zuberi Kabwe Mbunge wa CHADEMA alipokuwa akizungumza na Clouds Media Group katika msimu wa dhahabu unaoendelea wa Serengeti Fiesta 2011.
kisha baada ya hapo mheshimiwa Zitto Kabwe alitia saini kitabu cha Dhahabu kuashiria kuunga mkono na kuisuport Fiesta kutambulika kitaifa, ikiwa ni miaka kumi ya Fiesta.
Toa Maoni Yako:
0 comments: