Habari zetu wasomaji wa blog ya Kajunason (Habari na Matukio), poleni na usumbufu ambao umetokea. Napenda kuwaomba radhi kwa matatizo ambayo yametokea ya kufutika kwa post zote nilizoziweka tarehe 12 na 13. Tatizo kubwa lililosababisha kutokea kwa yote hayo ni suala la marekebisho yaliyokuwa yakifanywa na wenzetu wa google.com ambao wao ndiyo wanatupa huduma hii.
Napenda kuwahakikishia kuwa nitajitahidi kurudisha zile post kama zilivyokuwa na kuendelea kama kawaida.
Napenda kuwahakikishia kuwa nitajitahidi kurudisha zile post kama zilivyokuwa na kuendelea kama kawaida.
Asante sana,
Imetolewa na Cathbert Angelo Kajuna.
Mmiliki wa Kajunason Blog (Habari na Matukio).
Toa Maoni Yako:
0 comments: