

Mbunge wa viti maalum kupitia chama cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Vicky Kamata (kushoto) akifanya mahojiano na mwandishi mwandamizi wa gazeti la Dira ya Mtanzania, Dennis Fussi. Mahojiano hayo yalifanyika leo jijini Dar es Salaam ambapo mheshimiwa huyo aliongea mengi sana, fuatilia gazeti la Dira ya Mtanzania linalotoka kila jumatatu.


Toa Maoni Yako:
0 comments: